DIAMOND PLATNUMZ AJINYAKULIA TUZO 7 ZA KILI MUSIC AWARDS 2013/14.
Tuzo hizo ni pamoja na tuzo ya Msanii bora wa kiume, Mtunzi bora,Video bora ya mwaka, wimbo bora wa mwaka(My number one), Nymbo bora ya kushirikiana ya mwaka(Muziki gani) na tuzo ya mtumbwizaji bora wa mwaka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni